Category: Kitaifa
KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA
Katibu Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Gari la Balozi wa China hapa nchini Tanzania…
WAZIRI MKUCHIKA AWAFUNDA WALENGWA WA TASAF
Waziri wa Nchi Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Mkuchika (aliyevaa suti nyeusi) akikagua bidhaa zilizotengenezwa na Walengwa wa TASAFkatika mtgaa wa Inyala katika jiji la Mbeya kama njia mojawapo ya kujiongezea kipato. Waziri Mkuchika (aliyevaa tai)…
HUMPREY POLEPOLE AWAPIGA VIJEMBE CHADEMA
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter amewatupia kijembe Chama Kikuu cha Upinzania CHADEMA, kutokana na kumteua mgombea wa Ubunge jimbo la Siha Mkoa Kilimanjaro kwenye uchanguzi mdogo unatarajiwa…
MBUNGE JOSEPH MBILINYI ANYIMWA DHAMANA ARUDISHWA RUMANDE KWA KUTUHUMIWA KUTOA KAULI ZA UCHOCHEZI
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amerudishwa rumande katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya hadi Jumatatu wiki ijayo ambapo kesi yake ya kutoa maneno ya uchochezi itakaposikilizwa mfululizo. Sugu na Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel…
RUGEMARILA NA HARBINDER SETHI WAOMBA KUFANYIWA UPASUAJI MBELE YA MADAKTARI WAO
Mwendesha Mashitka wa Takukuru, Leornad Swai ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mmiliki wa IPTL Harbinder Singh Sethi anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha ameomba madaktari wake kutoka Afrika Kusini wawepo wakati akifanyiwa upasuaji wa puto. Bwana Swai ameieleza…