JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

RUGEMARILA NA HARBINDER SETHI WAOMBA KUFANYIWA UPASUAJI MBELE YA MADAKTARI WAO

Mwendesha Mashitka wa Takukuru, Leornad Swai ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mmiliki wa IPTL Harbinder Singh Sethi anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha ameomba madaktari wake kutoka Afrika Kusini wawepo wakati akifanyiwa upasuaji wa puto. Bwana Swai ameieleza…

WAZIRI MKUU AKABIDHI KADI ZA MATIBABU KWA WAZEE 280

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amegawa kadi za matibabu kwa wazee 280 wa wilaya ya Serengeti mkoani Mara, kadi hizo zitawawezesha wazee hao kutibiwa bure. Amesema Serikali imedhamiria kuboresha huduma za afya kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa matibabu bure…

PROFESA MBARAWA AWATAKA TPA KUKAMILISHA NA KUHAMIA JENGO JIPYA

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), kuhakikisha kazi ya kukamilisha ujenzi wa jengo jipya ‘One Stop Centre’ inakamilika haraka na kuanza kutoa huduma kwa mamlaka hiyo na wadau wake wote. Akizungumza…

CUF, CCM KUCHUANA JIMBO LA KINONDONI

Aliyekuwa meneja kampeni wa Maulid Mtulia kwenye uchaguzi wa 2015 Kinondoni, Rajabu Salim Jumaa leo Alhamisi amechukua fomu kugombea ubunge jimbo hilo. Mwaka 2015 mgombea wa CUF Mtulia alishinda ubunge wa jimbo hilo lakini alijivua uanachama wa CUF na kuhamia…

KESI YA SADIFA YAPIGWA KALENDA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeiharisha kesi inayomuhusu aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM na Mbunge wa Donge, Zanzibar Sadifa Juma Khamis anayetuhumiwa kwa rushwa. Sadifa Juma Khamis alikamatwa nyumbani kwake Dodoma December 9, 2017 kwa tuhuma za Rushwa akidaiwa kuwapa wajumbe…