JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

FAWOPA Yapiga Msasa Wadau wa Elimu-Mtwara

Shirika lisilokuwa la kiserikali la faidika wote pamoja FAWOPA limetoa Elim kwa Wadau Mbalimbali wa sekta hiyo Juu ya uandaaji wa Bajeti na kuweza kuwasilisha kwa kamati za Shule ili kuweza kuzifanyia kazi Kwa lengo La kuondokana na migongano inayojitokeza…

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA

 Katibu Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo  Gari la Balozi wa China hapa nchini Tanzania…

WAZIRI MKUCHIKA AWAFUNDA WALENGWA WA TASAF

Waziri wa Nchi Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora  Mhe. George Mkuchika (aliyevaa suti nyeusi) akikagua bidhaa zilizotengenezwa na Walengwa wa TASAFkatika mtgaa wa Inyala katika jiji la Mbeya  kama njia mojawapo ya kujiongezea  kipato.  Waziri Mkuchika (aliyevaa tai)…

HUMPREY POLEPOLE AWAPIGA VIJEMBE CHADEMA

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter amewatupia kijembe Chama Kikuu cha Upinzania CHADEMA, kutokana na kumteua mgombea wa Ubunge jimbo la Siha Mkoa Kilimanjaro kwenye uchanguzi mdogo unatarajiwa…

MBUNGE JOSEPH MBILINYI ANYIMWA DHAMANA ARUDISHWA RUMANDE KWA KUTUHUMIWA KUTOA KAULI ZA UCHOCHEZI

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amerudishwa rumande katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya hadi Jumatatu wiki ijayo ambapo kesi yake ya kutoa maneno ya uchochezi itakaposikilizwa mfululizo. Sugu na Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel…