JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

DK. SHEIN ATOA MSIMAMO KUHUSU MUDA WA KUKAA MADARAKANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein amesema hayupo tayari kuongeza muda wa uongozi kutoka miaka mitano hadi saba kwani kufanya hivyo ni kukiuka katiba ya Zanzibar. Dkt Shein amesisitiza kwamba, aliapa kuilinda katiba…

Tido Mhando Afikishwa Mahakamani

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC), Tido Mhando (kushoto), amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar leo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa TBC. Tido ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Azam…

Makonda Asema Wtaendelea kuwatibu wanaomtukana Rais Dkt Magufuli

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amefunguka na kusema kuwa wao kama viongozi wanazidi kuimarisha huduma mbalimbali za afya ili watu ambao wanamtusi Rais Dkt John Pombe Magufuli wazidi kuwa na afya nzuri. Makonda amesema hayo leo…

MSIBA WA GWAJIMA WAWAKUTANISHA MEMBE NA LOWASSA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa akiteta na Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani, Bernard Membe walipokutana leo katika msiba wa mama mzazi wa Askofu Josephat Gwajima nyumbani kwake Salasala, Dar es Salaam….

MWENYEZI MUNGU ANAZIDI KUTENDA MIUJIZA KWA TUNDU LISSU

  Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS, Mhe Tundu Lisu akiwa nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu na mazoezi ya kuimarisha viungo, huku akiwa ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo na hali yake kuzidi kuimarika…