Category: Kitaifa
RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MAZIKO YA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
Rais dkt. Magufuli leo ameshiriki maziko ya mwanasiasa mkongwe marehemu mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini dar es salaam Mazishi hayo pia yaliuzuriwa na Marais wastafufu, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete, pamoja na Viongozi wengine…
UZINDUA WA MUONEKANO MPYA WA GAZETI LA UHURU
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Idara ya Itikadi na Uendezi Humphrey Polepole (wapili kushoto) akifurahia nakala ya gazeti la Uhuru baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi za Uhuru Publications Limited UPL),…
MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachiwa huru mfanyabiashara Abdullah Hauga (73) aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wa kupeperusha bendera ya Tanzania bila kibali. Hatua hiyo imekuja baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) Nolle Prosequi kuwasilisha chini ya kifungu cha…
MSIBA WA KINGUNGE WAWAKUTANISHA LOWASSA NA KIKWETE
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na aliyekuwa Waziri Mkuu wake kabla ya kujiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa wameungana na mamia ya waombolezaji na viongozi wengine wa nchi katika kuuaga mwili wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Aapishwa Rasmi Bungeni
NAIBU Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amemwapisha Mmwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dkt. Adelardus Kilangi bungeni na kumkabidhia vitendea kazi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Tano cha Mkutano wa 11 wa Bunge, Mjini Dodoma, leo Feb 5, 2018….