JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

NAIBU WAZIRI WA MADINI BITEKO ATATUA MGOGORO WA LESENI YA MADINI ULIODUMU KWA MIAKA KUMI MKOANI SHINYANGA

Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akihutubia mamia ya wachimbaji wadogo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Mwazimba, Kata ya Chela, Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Jana Februari 3, 2018. Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka…

ASAS: CCM ITAWASHUGHULIKIA WATENDAJI WOTE WA SERIKALI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS DK. MAGUFULI

MJUMBE wa Halmashauri kuu  CCM Taifa (NEC ) Salim Abri amesema kuwa CCM Mkoa wa Iringa itahakikisha inamshughulikia  mtendaji yeyote wa serikali  atakayeonyesha dalili ya kukwamisha  juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli. Kauli hiyo aliitoa mwishoni…

RAIS MAGUFULI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WAUMINI WAO WASIJIHUSISHE NA MIGOGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi na waumini wa madhehebu ya dini nchini kujiepusha na migogoro ambayo imekuwa ikiharibu sifa na heshima ya taasisi hizo muhimu katika jamii. Mhe. Rais Magufuli ametoa…

RC WANGABO AAGIZA WAKAMATWE WOTE WALIOCHOMA NA KULIMA MSITU WA MALANGALI

Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Hamid Njovu akiwasilisha taarifa ya msitu wa Malangali uliopo Sumbawanga Mjini Kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo.  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa agizo la kukamatwa kwa waliokiuka amri ya…

MCHANGO WA TSH 5000 WAMTIA MATATIZO MWALIMU MKUU WA SHULE YA SEKONDARI

RC Rukwa, Joachim Wangabo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga kumchukulia hatua Mkuu wa Shule ya Sekondari Muhama kwa kuwatoza wanafunzi michango ya TZS 5,000 kama gharama ya kuwapatiwa fomu za maelezo ya kujiunga na shule hiyo. Hatua…

RC Wangabo Awabaini Wakwepa Kodi Atoa Siku 7 Wajirekebishe Kabla ya Msako

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim wangabo amesikitishwa na kitendo cha wafanyabiashara kutumia mbinu mbalimbali za kukwepa kulipa kodi serikalini jambo linalorudisha nyuma maendeleo, hivyo kutoa siku saba za kujirekebisha kabla ya Mamlaka ya mapato kuanza msako mkali na…