Category: Kitaifa
NEC: Maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Marudio Yanakwenda Vizuri
Zikiwa zimebaki siku 6 kabla ya uchaguzi mdogo wa ubunge Siha na Kinondoni na kata nane kufanyika, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema maandalizi yanaendelea vizuri. NEC imesema maandalizi hayo ni pamoja na ufumbuzi wa changamoto ndogondogo zinazojitokeza. Mkurugenzi…
RAIS WA ZAMANI WA LIBERIA ELLEN JOHNSON SIRLEAF ASHINDA TUZO YA KIONGOZI BORA WA AFRIKA INAYOTOLEWA NA MO IBRAHIM
Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ameshinda tuzo ya mwaka ya Mo Ibrahim kwa Uongozi wa Afrika – ambayo hupewa viongozi wa Afrika ambao wameonekana kuwa na utawala mzuri. Ellen Johnson Sirleaf amekuwa mwanamke wa kwanza barani Afrika…
CHADEMA : Mawakala wetu wamenyimwa viapo Kinondoni
Jana ilikuwa ndiyo siku ya kuwatambulisha na kuwaapisha mawakala kwa ajili ya Uchaguzi wa Marudio Jimbo la Kinondoni, Mawakala wa CHADEMA wamekataliwa kuapishwa. Awali tulibaini tatizo hilo Kata ya Hananasif ambapo Mtendaji wa Kata aitwae Richard Supu (0655998777), aligoma kuwaapisha…
RAIS MAGUFULI ASITISHA MPANGO WA KUWASAIDIA WAKIMBIZI
Tanzania inasema inajiondoa katika mpango wa Umoja wa mataifa wa kuwasaidia wakimbizi kuanza maisha mapya katika mataifa yanayowahifadhi. Tanzania limekuwa eneo salama kwa wakimbizi wengi na sasa inahifadhi zaidi ya wakimbizi 250,000 wa Burundi ambao walitoroka kwao ktutokana na matatizo…
Tambwe Hiza kuzikwa Leoa, Makaburi ya Chang’ombe, Temeke, Dar es Salaam
MWILI wa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Richard Tamilway maarufu kwa jina la ‘Tambwe’ aliyefariki dunia juzi asubuhi nyumbani kwake Mbagala Kizuiani, unatarajiwa kuzikwa leo Jumamosi katika Makaburi ya Temeke Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Kaka wa…