JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mwenyekiti wa Zamani wa Vijana wa CCM Afutiwa Mashitaka Mahakamani

Dodoma. Mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Dodoma imemwachia mwenyekiti wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Sadifa Juma Khamis baada ya upande wa Jamhuri kuwasilisha maombi ya kuifuta kesi iliyokuwa ikimkabili. Uamuzi huo umetolewa leo…

Naibu Meya wa CHADEMA Manispaa ya Iringa Ajiuzulu

Iringa. Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa, Dady Igogo ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake wa Naibu meya . Kwamujibu wa barua yake ya Februari 13 aliyoiwasilisha kwa Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo, Alex Kimbe, Igogo amedai ameamua kujiuzulu wadhifa…

Wizara ya Maji Yaanza Kutekeleza Agizo la JPM Kwa Kasi

 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe akikagua mitambo ya kusukuma maji katika eneo la Mailimbili mapema leo wakati wa ziara yake yakukagua namna Wizara hiyo kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Maji  Taka Dodoma (DUWASA) itakavyofanikisha mradi wa…

MAPOKEZI YA VIFAA VYA MATIBABU ZAHANATI YA KOMKONGA

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martine Shigela akizungumza na watumishi na wananchi wa Komkonga juu ya utunzaji wa vifaa hivyo na kupongeza uongozi wa Halmashuri kwa ujenzi wa maabara ndogo.  Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe aki shukuru…

Demokrasia iliyotundikwa msalabani

  Mwaka 2015 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa taifa letu la Tanzania, niliandika makala nyingi katika gazeti hili la JAMHURI. Makala zangu zilikuwa zinakosoa mwenendo wa chama tawala (CCM). Sihitaji kusimulia kilichonitokea lakini inatosha kudokeza kiduchu: ‘Niliambulia vitisho vya kuondolewa uhai…

NEC itekeleze agizo la Waziri Mkuu

Mwishoni mwa wiki iliyopita, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutenda haki katika kutangaza washindi wakati wa uchaguzi.   Majaliwa ameyasema hayo Alhamisi iliyopita mjini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Devotha…