Category: Kitaifa
TUNDU LISSU: “ JAJI MUTUNGI NI MSAKA TONGE ANAYEJIPENDEKEZA KWA MAGUFULI ILI AENDELEE KUWA KWENYE NAFASI ALIYO NAYO”
Nimesoma barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, yenye tuhuma na vitisho vingi dhidi ya CHADEMA. Bila kutoa ushahidi wowote na kwa kutegemea taarifa za upande mmoja tu, Msajili Mutungi ameituhumu CHADEMA kwa kufanya siasa za kibabe…
ZITTO KABWE AENDELEA KUSOTA RUMANDE, KWA TUHUMA ZA KUFANYA MKUTANO BILA KIBALI
Kiongozi Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro baada ya kukosa dhamana. Kiongozi huyo anashikiliwa tangu jana alipokamatwa kwa kufanya mkusanyiko bila kibali. Zitto alikamatwa katika Kata ya Kikeo iliyopo wilayani Mvomero na…
Serikali ya Nigeria yaomba radhi utekwaji wasichana
Kumekuwa na ongezeko la hali ya hasira kwa wazazi wa wasichana wanaodaiwa kutekwa na kundi la wapiganaji wa Boko Haram ambao siku ya jumatatu wamevamia shule moja ya wasichana katika mji wa Daptch nchini humo. Wazazi wa wanafunzi hao waliokuwa…
DIWANI WA CHADEMA AUWAWA KWA MAPANGA NA WATU WASIOJULIKANA MOROGORO
Diwani wa CHADEMA, Godfrey Lwena ameuawa usiku wa Alhamisi nyumbani kwake. Kamanda wa polisi Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei amethibitisha kuuawa kwa diwani huyo wa Kata ya Namwawala, Jimbo la Mlimba. Hata hivyo kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Matei…
Ajali ya Malori Yajeruhi Mwandishi wa Gazeti la Uhuru
Mwandishi wa habari wa Gazeti la Uhuru, Mariam Mziwanda, amejeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu, eneo la Tabata TOT jijini Dar es Salaam, usiku huu baada ya gari dogo alilokuwa akiliendesha lenye namba za usajili T222 DJX kugongana na lori…