JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

MAJALIWA : UKIKUTWA NA MWANAFUNZI KICHOCHOLONI TUTAKUKAMATA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike na ndiyo maana tunawataka watoe taarifa za watu wanaotaka kuwakwamisha kimasomo kwa watendaji wa vijiji kwenye maeneo yao. Alitoa agizo hilo wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wakazi wa…

WIZARA ZAWEKA MKAKATI WA KUIMARISHA MUUNGANO

Wizara ya Maliasili na Utalii ya Tanzania Bara na Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi ya Zanzibar zimeweka mkakati wa pamoja wa kuimarisha ushirikiano wa usimamizi wa maliasili, malikale na kuendeleza utalii kwa maslahi ya pande zote za Muungano….

WASHIRIKA WA MAENDELEO WAAHIDI KUSHIRIKIANA KWA KARIBU ZAIDI NA TANZANIA KULETA MAENDELEO

Meza Kuu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Mkutano kati ya Serikali na Washirika wa Maendeleo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (wa tatu kulia), kushoto kwake ni Mwenyekiti Mwenza na Mratibu wa Umoja…

CHADEMA YAZIDI KUTEKETEA, MADIWANI WAKE WAWILI WAJIUNGA CCM

Madiwani wawili kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiwa na makada 20 wa Vyama vya Upinzani wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wamekabidhi kadi zao kwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kyerwa na kuamua kuhamia ndani ya chama hicho. Madiwani hao waliohama…

SYRIA WAPUMZIKA KUPIGANA KWA MUDA, KUWAPA KUOKOA ROHO ZA RAIA

Rais wa Urusi Vladmir Putin ameagiza usitishwaji wa mapigano kwa takriban saa tano katika mashambulizi yanayofanywa na serikali ya Syria katika maeneo ya mashariki mwa eneo la Ghouta linalodhibitiwa na waasi. Usitishwaji huo wa mapigano unaanza leo Jumanne na utajumuisha…