Category: Kitaifa
Benki ya NMB yazindua tawi jipya Kigamboni
Mkurungezi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi huo. Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa (wa tatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi jipya la Benki ya NMB Wilaya ya Kigamboni….
TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAINYOSHEA KIDOLE CCM
Ripoti ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekikosoa vikali Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kutumia mtoto wakati wa kampeni za ubunge Jimbo la Kinondoni, pia matumizi ya rasilimali za umma (magari) katika kampeni za Siha.
RUFAA YA SUGU YAFIKA MAHAKAMA KUU MBEYA
Rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha miezi mitano jela iliyotolewa kwa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga imewasilisha Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya. Mmoja wa mawakili…
HUYU HAPA KAMPENI MENEJA WA DONALD TRUMP KWENYE UCHAGUZI WA 2020
Rais wa Marekani Donald Trump amemtaja meneja wa kampeni zake za urais mwaka 2020. Brad Parscale mtaalam wa mitandao, alifanya kazi katika kampeni za Trump 2016 na alisifiwa sana kwa kutumia mitandao ya kijamii vizuri jambo linalotajwa kumpa ushindi Trump….
Korea Kaskazini ‘inaisaidia Syria na silaha za kemikali’
Korea Kaskazini imekuwa ikiwatumia vifaa Syria ambavyo vinaweza tumika katika kutengeneza silaha za kemikali, ripoti ya chombo cha habari Marekani imesema kikinukuu ripoti kutoka Umoja wa Mataifa. Kwa mujibu wa ripoti ya UN ambayo haijatolewa, wataalam wa bakora Pyongyang wameonekana…