JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

UFARANSA YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUPAMBANA NA RUSHWA

SERIKALI ya Ufaransa imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa mapambano dhidi ya rushwa na inaamini fedha zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali zitatumika kama ilivyokusudiwa. Kauli hiyo imetolewa leo (Jumatatu, Machi 05, 2018) na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania,…

CUF WAMFUKUZA JULIUS MTATIRO UANACHAMA KWA KUTOKULIPIA KADI YA UANACHAMA

KADA wa Chama cha Wananchi (CUF) ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya chama hicho, Julius Mtatiro, amevuliwa uanachama wa chama hicho na Uongozi wa CUF Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam. Akitangaza uamuzi huo mapema siku…

CHADEMA WAWAJIBU SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA(TAHLISO) KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA AKWILINA

Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (Tahliso) limeibuka likitaka uchunguzi wa haraka ufanyike, huku likitaja makundi matatu yanayopaswa kulaumiwa kwa kifo cha mwanafunzi huyo. Mwenyekiti wa Tahliso, George Mnali alisema makundi hayo hayawezi kukwepa lawama kuhusu kifo cha…

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AIKOMALIA CHADEMA, AITAKA KUJIELEZA KWANINI ASIKICHULIE HATUA

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kwa mara nyingine ametoa siku tano kwa Chadema kujieleza kwa nini asikichukulie hatua kwa kukiuka sheria na kanuni za maadili ya vyama vya siasa. Katika barua hiyo ya Jaji Mutungi ya…

SERIKALI YAJIBU BARUA ILIYOKUWA INASAMBAA MTANDAONI INAYOMUHUSU DK KIGWANGALA

Mkurugenzi wa Mawasilano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa nayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa Rais Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Hamis Kigwangalla Msigwa amewataka wananchi kuipuuza taarifa hiyo kwani ni upuuzi….