JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

WAZIRI MAHIGA AIJIBU KAULI ZA EU NA MAREKANI

Serikali imetolea majibu kauli za Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na ile ya Umoja wa Ulaya (EU) ambazo kwa nyakati tofauti zilionyesha kuwa kuna changamoto katika masuala ya ulinzi nchini wakitolea mifano ya kutoweka kwa baadhi ya watu pamoja na…

HALI SI SHWALI CHADEMA, MWENYEKITI WA BAVICHA KILIMANJARO ASIMAMISHWA KAZI

Hali ni tete ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya chama hicho kuchukua hatua ya kumsimamisha uongozi Mwenyekiti wa Baraza la Vijana, Dickson Kibona. Kibona alisimamishwa kazi Februari 28, mwaka huu, ikiwa zimepita siku…

BAADA YA SIMBA KUCHEZEWA SHARUBU NA STAND UNITED, LEO TENA VIWANJA KUWAKA MOTO

Simba jana kwenye uwanja Taifa wamechezewa sharubu zao baada ya kutoka sare ya mabao 3-3 na Stand United Chama la wana, mechi hiyo ilikuwa kali sana ambapo ilikuwa funga nikufunge, simba wakishinda stand wanachomoa. hivyo mpaka dakika 90 Simba 3…

TANGA UWASA ,JUIN COMPAY LIMITED WAINGIA MKATABA MAKUBALIANO KUTEKELEZA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO

Tanga Uwasa  Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares kushoto akisaini mkataba wa kutekeleza mradi wa Maji wilayani Lushoto na Mkandarasi wa mradi huo Justice Kato  kutoka kampuni ya…

UHABA MADARASA WASABABISHA WANAFUNZI 346 KIDATO CHA KWANZA KUSHINDWA KURIPOTI SHULE WILAYANI KAKONKO

JUMLA ya wanafunzi 346 wa kidato cha kwanza wilayani Kakonko mkoani Kigoma,wameshindwa kuripoti shuleni kutokana na shule walizopangiwa kuwa na uhaba wa vyumba vya madarasa. Hali iliyo walazimu viongozi wa Wilaya kwa kushirikiana na wananchi kujenga vyumba viwili kwa kila…

ZITTO KABWE APATA PIGO WANACHAMA WAKE ACT-WAZALENDO WAAMIA CCM

VIONGOZI kadhaa wa chama cha ACT Wazalendo na wanachama wao wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa, Machi 2, 2018. Akizungumza na wanahabari jijini Dar wakati wa kutoa maamuzi hayo, Katibu wa ACT Wazalendo…