JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Wakurugenzi wasiotenga fedha za mikopo kwa wanawake kufikia June kutumbuliwa.

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Mh. Ummy Mwalimu ametoa miezi mitatu kwa wakurugenzi wote nchini kuhakikisha wanatenga asilimia 4 za fedha za halmashauri kwaajili ya kuwapa wanawake mikopo ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuunga…

HDIF YAWAWEZESHA WANAWAKE TANZANIA KATIKA NYANJA YA UBUNIFU

 Naibu Kiongozi  Mfuko wa  ubunifu wa Maendeleo ya watu kutoka nchini Uingereza (HDIF), Joseph Manirakiza akizungumza juu ya  kongamano hilo ili kutoa fursa kwa watu kujifunza namna wanawake wamefanikiwa katika masuala ya ubunifu na kuleta maendeleo katika jamii inayoiwazunguka.  Naibu Katibu…

NIDA KUZINDUA USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA KIGOMA, RUKWA NA KATAVI

Kaimu Ofisa Uhusiano Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Rose Joseph akielezea mikakati ya kuzindua usajili wa vitambulisho Kigoma, Rukwa na Katavi sambamba na ndani ya mgodi wa Tanzanite. MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA)  inatarajia kuzindua usajili na utoaji wa …

PIGO TENA KWA ACT-WAZALENDO, DIWANI MWINGINE AAMIA CCM

Aliyekuwa Diwani wa kata ya Gihandu Wilayani Hanang, Mkoani Manyara kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mathayo Samuhenda amejiuzulu udiwani wa kata hiyo na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Diwani huyo ameachia kiti hiko cha udiwani wakati akifanya mkutano wa…

WAFANYA BIASHARA WA SOKO LA MBAGALA WATOA VILIO KUUNGUA KWA SOKO LAO

Soko la Kampochea lililopo Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto alfajiri ya leo Jumanne Machi 6, 2018 na kusababisha hasara kwa wafanyabiashara wa eneo hilo. Imeelezwa moto huo ulianza kuteketeza mabanda ya soko hilo saa 12…

WANANCHI WA PUGU WA MPONGEZA MEYA MWITA KWA KUWAPATIA MAJI SAFI NA SALAMA

Wananchi wa Pugu wa mpongeza Meya Mwita kwa kuwapatia maji safi na salama. WANANCHI wa Kata ya Pugu, Mtaa wa Mustafa, wamempongeza Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kwa kuwapelekea maji safi na salama huku wakibainishiwa…