JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

WAUZA FIGO WAPIGWA MARUFUKU

CHAMA cha Madaktari Bingwa wa magonjwa ya figo Tanzania kimepiga marufuku biashara  ya uuzaji figo nchini na kueleza kuwa huo si utaratibu mzuri kwa madhara yake ni makubwa. Pia kimeelezea hali ya ugonjwa wa figo nchini na kwamba kwa mwaka…

Magufuli Awanyooshea Kidole Wanaotaka Kuandamana

Rais Dkt John Magufuli amewaonya vikali watu wanaopanga kufanya maandamano nchini humo akisema kwamba hawataruhusiwa. “Wapo watu wangependa nchi hii kila siku tuwe na migogoro,” amesema Dkt Magufuli. “Wapo watu ambao wameshindwa kufanya siasa za kweli, wangependa kila siku tuko…

Mwanafunzi wa UDSM ‘aliyetoweka’ Awekwa Chini ya Polisi Ili Kubaini Ukweli

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TSNP) na mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Abdul Nondo ambaye alikuwa ameripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha, usiku wa kuamkia jana aliripotiwa kupatikana mkoani Iringa. Kamanda wa Polisi mkoani Iringa,…

Rais Mstaafu JK akifinya Ugali msibani

  Pita pita yangu nikajikuta nimetokea kwenye page ya twitter ya Rais wetu Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akiandika post na kuweka picha za yeye na wazee wakila ugali kwenye sahani moja na bakuli moja la mboga. Mimi…

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA MKOANI TABORA

Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete akimpongeza Mbunge wa Vitimaalum mkoa wa Tabora Munde Tambwe baada ya kupokea kiasi cha shilingi milioni moja kwaajili ya TIKA huku Mbunge huyo Munde Tambwe akiahidi mbele Mama Salma Kikwete kuchangia jumla ya…