Category: Kitaifa
Tahadhari kwa Mikoa Hii Itakumbwa na Mvua Kubwa
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya uwepo kwa vipindi vya mvua kubwa katika maeneo yote ya pwani kuanzia leo usiku mpaka Aprili 16, mwaka huu. Mikoa iliyotajwa kuwa na vipindi vya mvua kubwa…
CCBRT NA TCCO WAENDESHA MAFUNZO YA MATIBABU YA NYAYO ZA KUPINDA
HOSPITALI ya CCBT ya Jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali linalojishughulisha na kutoa huduma na matibabu ya nyayo za kupinda Tanzania( TCC0) wameendesha mafunzo ya wiki moja ya namna ya kutibu nyayo zilizopinda. Huduma hiyo…
SERIKALI ITAENDELEA KUMUENZI SOKOINE
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano itaendelea kusimamia maadili ya utumishi wa umma ili kuenzi fikra za hayati Edward Moringe Sokoine. “Tutaendelea kusimamia maadili ya utumishi wa umma kwa kuzingatia yale yote ambayo Mheshimiwa Sokoine…
WAZIRI MKUU AIASA JAMII KUMUENZI MZEE MTOPA KWA KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiasa jamii nchini kujiepusha na migogoro kwa vile haina tija na badala yake idumishe amani, upendo na uadilifu ili kumuezi mwanasiasa mkongwe nchini, marehemu Alhaj Ali Mtopa. Aliyasema hayo jana (Jumatano, Aprili 11, 2018) alipomuwakilisha…
MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ALI MTOPA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiasa jamii nchini kujiepusha na migogoro kwa vile haina tija na badala yake idumishe amani, upendo na uadilifu ili kumuezi mwanasiasa mkongwe nchini, marehemu Alhaj Ali Mtopa. Aliyasema hayo jana (Jumatano, Aprili 11, 2018) alipomuwakilisha…
Nguvu ya msamaha katika maisha
“Kutokusamehe ni kama kunywa dawa ya panya na kungoja ili panya afe.”- Anne Lamott. Alikuwapo msanii mmoja jina lake aliitwa Pablo Picasso 1881-1973, raia wa Hispania. Msanii huyu alikuwa anataka kuchora kitu kizuri duniani, msanii huyu alimwendea Padre mmoja na…