JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

NENDA NENDA SWAIBA, WEWE MBELE SISI NYUMA, JEBBY AFARIKI DUNIA

Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.

Rais Dkt Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB). Uteuzi wa Dkt. Mndolwa umeanza leo tarehe 23 Aprili, 2018. Dkt….

Maandalizi ya ibada ya kuaga mwili wa

Mwili wa Msanii Agnes ‘Masogange’ Gerald unaagwa leo katika viwanja wa Leaders Club jijini na Dar es Salaam, na baada ya hapo utasafirishwa kwenye nyumbani kwao jijini Mbeya kwa ajili ya maziko. Katika viwanja hivyo, watu mbalimbali wakiwemo wasanii wenzake,…

Vidole Havitatumika Kupima Wanaume wa Dar Tezi Dume-Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa, njia itakayotumika kuwapima saratani ya tezi dume wanaume wa Dar es Salaam ni njia ya damu na sio kwa kutumia kidole kama inavyodhaniwa na baadhi ya watu. Ameeleza kwamba,…

UZALISHAJI WA CHAKULA NCHINI UMEIMARIKA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika na kufikia tani milioni 15.9 kwa msimu wa mwaka 2016/2017 na 2017/2018 sawa na kuwa na ziada ya tani milioni 2.6.   Pia Serikali ya Awamu…

BAADA YA MZEE WENGER KUOMBA POO, ARSENAL YAMNYATIA GUARDIOLA

Taarifa zinaeleza kuwa Uongozi wa Arsenal umeanza kufanya mazungumzo ya kimyakimya na Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ili kuchukua nafasi ya Arsene Wenger. Hatua hiyo imekuja kufuatia Wenger kutangaza kuondoka Arsenal baada ya kuitumikia kwa miaka 22 akiwa Kocha…