JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Waziri Palamagamba Kabudi Akosoa kampeni ya RC Makonda kuwasaidia wanawake

Waziri wa Katiba na Sheria, Prof Palamagamba Kabudi amekosoa utaratibu uliotumiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika kushughulikia tatizo la wanawake wanaodai kutelekezwa na wazazi wenzao. Waziri Kabudi ameyasema hayo jana bungeni baada ya Mbunge…

Waziri amekabidhi nyundo kwa polisi

Baada ya ajali ya hivi karibuni mkoani Tabora iliyohusisha gari la mizigo na basi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa Jeshi la Polisi ambalo litawaumiza waendesha magari wengi. Kwa mujibu wa taarifa za…

Trafiki njia ya Calabash mmmh!!

Tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani, trafiki wamekuwa wakifanya kazi ambayo matokeo yake yamechanganyika pongezi na lawama. Mpita Njia (MN) anatambua namna watumishi hawa wanavyojitahidi kusimamia sheria za usalama barabarani na hata kufanikiwa kwa kiwango fulani kupunguza ajali-…

Tunawatukuza mno Wakenya

Napenda kusoma mawazo ya watu wengi kwenye mitandao ya kijamii. Anayetaka kujua uwezo wetu wa kufikiri, kuchambua na kuainisha mambo, huko ndiko kunakomfaa. Kuna dosari moja nakutana nayo. Mitandao ya kijamii ina mjijadala mingi ya kuitukuza Kenya na Wakenya. Si…

TAMASHA LA AMKA KIJANA, TUIJENGE IRINGA YETU LAFANA MJINI IRINGA

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Richard Kasesela akimtambulisha mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Amina Masenza (mwenye ushungi) huku mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere akifuatilia kwa karibu wakati wa Tamasha la Amka Kijana, Tuijenge Iringa Yetu lililofanyika uwanja…

Aliyekuwa Mlipaji Mkuu wa Serikali afariki dunia

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali wa Wizara ya Fedha na Mipango, katika Serikali ya Awamu ya Nne, Bw. Ramadhani Musa Khijjah (65), amefariki dunia alfajiri ya kuamkia Aprili 17 katika eneo la Jet Lumo, wilayani Temeke,…