Category: Kitaifa
Serikali Yafafanua utakaotumika wa kupima watu UKIMWI kwenye Baa
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema upimaji wa Kifua Kikuu (TB) na UKIMWI kwenye baa hautakuwa wa lazima. Waziri wa Afya ameyasema hayo baada ya kuzuka hofu miongoni mwa wananchi ambapo baadhi ya…
Ili Upate Mkopo Lazima uwe na Sifa Hizi
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa masharti ya kuzingatiwa wakati wanafunzi wanapoomba mikopo kwa mwaka wa fedha 2018/19 ili vigezo viweze kuzingatiwa kama ilivyoainishwa. HESLB imetoa masharti au vitu vya kuzingatia ambapo moja ya…
Makosa matatu yanayomkabili Mhandisi aliyekamatwa kwa agizo la Rais
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MNM Engineering Service Ltd, Mhandisi Godwin Mshana aliyejenga ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Mkwawa (MUCE) cha mjini Iringa amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka matatu yanayomkabili, likiwamo shtaka la uhujumu uchumi. Mhandisi huyo alifikishwa…
SERIKALI YAKUSUDIA KUTAFUTA MBIA MWINGINE MRADI WA UDART
SERIKALI imesema inakusudia kuongeza mtoa huduma mwingine katika uendeshaji wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) ambayeataingiza mabasi yake na kutathmini ufanisi wa mbia wa sasa ili kuimarisha huduma ya usafiri Jijini Dar es salaam . Amesema iwapo itabainika kwamba mwendeshaji…
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Yatangaza Kupokea Maombi ya Mikopo kwa Wanafunzi
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo imetangaza kuanza kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa muda wa miezi miwili na kusisitiza kuwa maombi yote yatapokelewa kwa njia ya mtandao. Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB…