Category: Kitaifa
MAJALIWA: SERIKALI IPO MAKINI NA AJIRA ZA WAGENI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Seriali ipo makini na ajira za wageni na itaendelea kuhakikisha kuwa Watanzania wanapewa fursa kwanza. Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Alhamisi, Mei 17, 2018) Bungeni mjini Dodoma katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo…
WAZIRI MKUU AKEMEA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekemea uharibifu wa makusudi wa miundombinu ya barabara na majengo unaofanywa na baadhi ya wananchi na kuwataka waache tabia hiyo mara moja. Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Alhamisi, Mei 17, 2018) Bungeni mjini Dodoma katika…
TGNP Mtandao yaanzisha kijiwe cha hedhi kuwasaidia wasichana
TGNP Mtandao imeanzisha kijiwe maalum cha hedhi kwa wanawake ili kuwawezesha watoto wa kike shuleni kujadili juu ya mwenendo wa hedhi salama. TGNP Mtandao imefikia uamuzi huo wa kuanzisha kijiwe cha hedhi baada ya kubaini uwepo wa watoto wengi wa…
Rais Magufuli Atoa Agizo kwa wanaodaiwa na JWTZ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo Alhamisi Mei 17, 2018 amefungua kituo cha Uwekezaji cha Suma JKT kilichopo Mgulani. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama…
Nondo Akwama Ombi la Kumkataa Hakimu, kuendelea na Kesi Yake
Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Iringa, John Mpitanjia anayeendesha kesi inayomkabili Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Abdul Nondo amekataa kujitoa katika kesi hiyo kwa maelezo kuwa, ushahidi wa mtuhumiwa anayetaka ajitoe haujajitosheleza. Katika maombi ya msingi,…
Kauli ya serikali kuhusu ajira za vijana waliopita JKT
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt Hussein Mwinyi amesema serikali inatarajia kuajiri wastani wa vijana 6,000 waliopitia JKT kwa ajili ya vyombo vya ulinzi na usalama. Aidha amesema kujiunga na JKT kwa kujitolea, hakutoi uhakika wa…