JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI TIRA

RAIS John Magufuli amemteua Bi. Khadija Issa Said kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Kusimamia Shughuli za Bima Tanzania (TIRA).

RC DKT. KEBWE AAGIZA WAHUJUMU MIUNDOMBINU YA MAJI GAIRO WAKAMATWE

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akipokea maelezo ya wizi wa pampu ya maji kutoka kwa mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Mchembe katika Kijiji cha Italagwe Kata ya Italagwe ili kuweza kuwalejeshea wanachi maji. Picha…

WAZIRI MKUU AWAPOKEA WANACHAMA WAPYA 89 KUTOKA VYAMA VYA UPINZANI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea wanachama saba kutoka vyama vitatu vya upinzani ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) na wengine 82 kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao walikuwa wapiga debe.   Wanachama hao wamepokelewa leo mchana (Ijumaa, Mei 25,…

WAZIRI MKUU ASHIRIKI UJENZI WA UWANJA MPYA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki kazi za ujenzi wa uwanja mpya wa michezo wilayani Ruangwa kwa kubeba zege na matofali pamoja na wananchi.   Waziri Mkuu ambaye pia ni mbunge wa Ruangwa, ameshiriki zoezi hilo leo (Ijumaa, Mei 25, 2018)…

Waziri Mkuu Aonya wakulima wasiwauzie chomachoma, ataka wasubiri minada

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya wakulima wa ufuta wasikimbilie kuuza zao hilo kwa wanunuzi wasio rasmi maarufu kwa jina la chomachoma bali wasubiri minada itangazwe mwezi ujao.   “Ninawasihi msikubali kuuza kwa akina chomachoma bali tumieni Mfumo wa Stakabadhi za…