Category: Kitaifa
Mtibwa Waungana Na Simba Kimataifa
Mtibwa Sugar wameungana na Simba sc Kucheza Mashindano ya Kimataifa baada ya Jana kutangazwa rasmi kuwa mabingwa wa Kombe la Shirikisho baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Singida United katika mchezo wa fainali uliopigwa Uwanja wa…
JPM AWALILIA MAPACHA WALIOUNGANA “WALIKUWA NA NDOTO KUBWA”
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, Masista wa Maria Consolata na wote walioguswa na kifo cha mabinti mapacha walioungana Maria na Consolata Mwakikuti waliofariki dunia jana jioni katika hospitali ya Mkoa wa Iringa. …
MAPACHA WALIONUGANA, MARIA NA CONSOLATA WAFARIKI DUNIA
Mapacha walioungana (Maria na Consolata) wamefariki dunia usiku huu wa Jumamosi Juni 2, 2018 katika hospitali ya Iringa walikokuwa wakitibiwa. Mapacha Hawa walifanikiwa kuanza masomo yao ya juu katika Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Ruco) cha mjini Iringa mwaka jana…
MKANDARASI WA KITUO CHA AFYA GAIRO ATAKIWA KUMALIZA KAZI KWA WAKATI
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe ameutaka uongozi wa wilaya ya Gairo unamsimamia mkandarasi na kuhakikisha upanuzi wa kituo cha afya na unakwisha kwa wakati. Akizungumza na uongozi na mkandarasi wakati wa ziara yake mwishoni mwa wiki…
VIJANA 966 WAHITIMU MAFUNZO YA KIJESHI MLALE JKT
Mwakilishi wa mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa(Jkt)Kanal Hassan Mabena kulia akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme katika kikosi cha 842 Kj Mlale jana wakati mkuu wa mkoa alipkwenda kwa ajili ya kufunga mafunzo ya kijeshi na…
Tanzania itaendelea kushiriki katika ulinzi wa amani duniani, Balozi Mahiga
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akihutubia katika maadhimisho ya miaka 70 ya Siku ya Walinda Amani Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Mashujaa vya Mnanzi Mmoja Jijini Dar es Salaam tarehe…