Category: Kitaifa
Tanzania itaendelea kushiriki katika ulinzi wa amani duniani, Balozi Mahiga
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akihutubia katika maadhimisho ya miaka 70 ya Siku ya Walinda Amani Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Mashujaa vya Mnanzi Mmoja Jijini Dar es Salaam tarehe…

DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CCM
Dkt. Bashiru Ally amepitishwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM) akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrahman Kinana. Dkt. Bashiru amepitishwa leo Mei 29, 2018 katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama(NEC) Dkt. Bashiru ni Mwalimu Mwandamizi kutoka Chuo Kikuu…
CCM WAKUBALI KINANA KUJIUZULU
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imepokea ombi la kustaafu kwa Ndg. Abdulrahman Kinana katika nafasi yake ya Katibu Mkuu pamoja na majukumu yake. Kamati hiyo wameridhia kwa pamoja ombi lake na wamemtakia mafanikio mema katika shughuri zake
Bado Tunakukumbuka Albert Mangweir
Leo wanamuziki na wadau wa burudani nchini Tanzania wanakumbuka miaka mitano ya kifo cha msanii wa miondoko ya kufokafoka Albert Mangwair. Mangwair ambaye alikuwa mmoja ya wasanii nguli nchini alizaliwa Novemba 16 1982 mkoani Mbeya na kufariki Mei 28 2013…
DK. SALEH ALI SHEIKH: TANZANIA NI MFANO WA KUIGWA
WAZIRI wa Mambo ya Dini wa Saudi Arabia, Dk. Saleh Ali Sheikh amesema Tanzania ni mfano wa kuigwa na nchi nyingine kutokana na amani iliyopo. Ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumapili, Mei 27, 2018) wakati akitoa nasaha kwa wageni…