JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

NMB yakabidhi gawio la Shilingi Bilioni 10 kwa serikali

Dodoma. Benki ya NMB jana ilikabidhi gawio la Shilingi Bilioni 10.17 kwa serikali kutokana na faida iliyopatikana mwaka 2017. Pesa hizo ni sehemu ya jumla ya Shilingi Bilioni 32 ambazo ziliidhinishwa na mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa wa Benki…

UWEKEZAJI WENYE MTAZAMO ENDELEVU WA BIASHARA UTAFANIKISHA MPANGO WA KUJENGA TANZANIA YA VIWAND

Lisa akiwa (kushoto) akiwa na mwenzake katika mpango wa GMT, Raj Chandarana wakipanda mti wilayani Hai katika mradi wa mazingira wa TBL. Lisa (wa pili kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzake wa TBL baada ya kushiriki katika mradi…

MSANII WA DK. SHIKA ATOA VIDEO YA WIMBO

Msanii ambaye anasimamiwa na Dk. Shika A.KA mia 900 itapendeza, Godson ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Relax’ ambao amemshirikisha Beka Flavour, video imeongozwa na Kwetu Studio.

MTANZANIA KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA MAREKANI

  MMOJA wa wataalam na watafiti wa magonjwa ya akili nchini, Profesa Slyvia Kaaya, ni miongoni mwa watu sita watakaotunukiwa shahada za heshima na Chuo Kikuu cha Dartmouth cha Marekani leo.   Prof. Kaaya, wa Chuo cha Sayansi ya Afya…

Jeshi la Zima Moto Yapewa Tuzo ya Heshima

JESHI la Zimamoto na Uokoaji limepokea tuzo ya cheti cha heshima kwa kutambua mchango wao katika kupambana na majanga ya moto na uokoaji hapa nchini kutoka katika Taasisi ya Wazalendo na Maendeleo.   Tuzo hiyo imepokelewa na Kamishna Jenerali wa…