Category: Kitaifa
Waziri Mkuu ‘alinunua’ shule kihalali – Meneja
Na Waandishi Wetu, Lindi na Dodoma Familia ya Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ilifuata taratibu zote halali katika kununua Shule ya Sekondari ya Nyangao, iliyopo mkoani Lindi, JAMHURI limefahamishwa. Meneja wa Shule ya Nyangao, Mathias Mkali ameliambia JAMHURI…
LEO NI SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI DUNIANI
Leo June 13 ni siku ya Uelewa wa watu wenye Ualbino Duniani ambapo kwa Tanzania kitaifa inafanyika mkoani Simiyu. Pamoja na kampeni mbalimbali jamii ya watu wenye ulemavu wa ngozi bado inaishi kwa mashaka kutokana vitendo vya imani potofu ambavyo…
WANUNUZI WA PAMBA WAISHUKURU SERIKALI
WANUNUZI wa zao la pamba wameishukuru Serikari kwa kuweka mfumo mzuri wa ununuzi wa zao hilo, ambalo kwa mwaka huu linauzwa kupitia katika minada inayosimamiwa na Vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS). Hata hivyo wanunuzi hao wameiomba Serikali kuziwezesha…
Mjumbe wa Nyumba 10 Amgaia elfu 10 Paul Makonda
Mjumbe wa Nyumba kumi kinondoni amgaia shillingi elfu 10, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda. Tukio hilo limetokea leo Kinondoni ambapo Rais Magufuli alitembelea kukagua ujenzi wa Msikiti unaojengwa kwa msaada wa Kiongozi wa Morocco. Mjumbe…
PROF. KAMUZORA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora anayeshughulikia (Sera na Uratibu) akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Wang Ke alipowasili katika Ofisi yake Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni,2018. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri…