Category: Kitaifa
TAZAMA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2018 HAPA
BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia kuwa ni pamoja na ya wasichana ya Jangwani, ya Jijini Dar es Salaam. Ubora wa ufaulu kwa watahiniwa wa shule…
Mkanganyiko rangi za mapaa Dodoma
Uamuzi wa Baraza la Madiwani wa Jiji la Dodoma wa kutofautisha kwa rangi mapaa ya nyumba kwenye kata zote 41 umepokewa na wananchi kwa mitazamo tofauti. Uamuzi huo ulifikiwa kwenye kikao cha robo ya pili ya mwaka, Januari, mwaka huu…
Tume anayoitaka Mke wa Bilionea Erasto Msuya iundwe
Upande wa Mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili mke wa marehemu Bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita (41), umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa jalada la kesi hiyo lipo kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini(DPP) analifanyia kazi. Wakili wa Serikali Mwandamizi,…
DAWASCO YATAKIWA KUWEKA MITA ZA KIELEKTRONIKI
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa akizungumza na wafanyakazi na viongozi wa Shirika la Majisafi na Maji taka Dar es Salaam (DAWASCO) wakati wa ziara ya kujitambulisha mapema leo ofisi za DAWASCO. Picha zote na Cathbert Kajuna –…
KAMANDA SIRO AFANYA MABADILIKO YA MA-RPC
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Siro amefanya mabadiliko ya Makamanda katika baadhi ya mikoa kama ifuatavyo. 1. SACP Deusdedit Nsimeki aliyekuwa Makao Makuu ya Upelelezi anakwenda kuwa RPC Simiyu. 2. SACP Ulrich Matei aliyekuwa RPC Morogoro, anakwenda kuwa…
MAJIMAREFU KUAGWA KESHO DAR, NA KUZIKWA ALHAMISI YA TAREHE 5/07/2018, KOROGWE, TANGA
Aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu enzi za Uhai wake. Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu, utaagwa kesho Julai 4, 2018 na baadaye mwili…