Category: Kitaifa
Lugola Ampa Siku 10 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya vitambulisho- NIDA
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Kangi Lugola ametoa siku zisizozidi kumi kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya vitambulisho NIDA, akiwa na kampuni ya Iris Dilham kufika ofisini kwake mjini Dodoma ili kueleza sababu ya kutofika kwa mtambo wa kuchapisha…
Mgombea wa Udiwani Kata ya Turwa, Tarime Kupitia CCM Amepita Bila Kupingwa
Mkurugenzi wa Halamshauri ya Mji wa Tarime Elias Ntiruhungwa ameamua kumutangaza aliyekuwa Mgombea udiwani kata ya Turwa kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Bw Chacha Mwita Ghati kwa madai kuwa amepita bila kupingwa huku akieleza kuwa wagombea Wenzake kutoka vyama…
WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU MICHANGO YA SHULE
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hakuna michango yoyote itakayokusanywa kutoka kwa wazazi kwa ajili ya shule kama haina kibali cha Mkurugenzi wa Halmashuri. “Mheshimiwa Rais wetu, Dkt. John Pombe Magufuli alishapiga marufuku michango ya aina hii na akatangaza mpango…
WAZIRI MKUU AWAONYA VIONGOZI WAPYA WA SHIRECU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wapya wa Chama Kikuu cha Ushirika Shinyanga wajipime kama wako tayari kuwatumikia wananchi na kama sivyo waachie ngazi. Ametoa onyo hilo jana (Ijumaa, Julai 13, 2018) wakati akizungumza na mamia ya wananchi wa…
RAIS DK. MAGUFULI ATENGUA NA KUTEUA MKURUGENZI MKUU NSSF
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Prof. Godius Kahyarara kuanzia leo 14 July 14, 2018. Prof. Kahyarara atapangiwa kazi nyingine. Kufuatia hatua hiyo, Rais…
HABARI PICHA: Mke wa Kibonde azikwa Makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam
Jana July 13, 2018 Familia, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na mtangazaji Ephraim Kibonde wameuaga na kuuzika mwili wa marehemu Sara Kibonde ambaye ni mke wa mtangazaji Kibonde nyumbani kwake, Ubungo Kibangu na kisha baadae kuupumzisha mwili wake…