Category: Kitaifa
ESTHER MATIKO APEWA ONYO MAHAKAMANI
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuonya Mbunge wa Tarime Mjini (Chadema), Esther Matiko, kwa kushindwa kuwasiliana na mdhamini wake. Onyo hilo limetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, katika kesi ya kufanya maandamano yasiyo halali inayowakabili viongozi tisa wa Chama…
JASINTA MBONEKO ALA KIAPO CHA UKUU WA WILAYA YA SHINYANGA
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Zainab Telack amemuapisha Jasinta Venant Mboneko kuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga leo Jumatatu Agosti 6,2018. Hafla fupi ya kuapishwa kwa mkuu huyo mpya wa wilaya ya Shinyanga imefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa…
Kangi Lugola Atoa Onyo Makampuni ya Ulinzi Yanayoajiri Vikongwe
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Alphaxard Lugola, ametoa mwezi mmoja kwa makapuni binafsi ya ulinzi nchini kuhakikisha yanarekebisha mfumo wao wa kuajiri pamoja na utoaji wa mishahara kabla ya Wizara yake haijaanza kuyahakiki makampuni hayo. Lugola amesema…
BAD NEWS: Gari la Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla limepata ajali
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamis Kigwangalla amepata ajali katika eneo la Magugu mkoani Manyara. Waziri Kigwangalla amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake, huku mwanahabari Hamza Temba akifariki dunia. Waziri Kigwangalla alikuwa katika ziara ya kikazi ambapo alikuwa akikagua…
Lugumi Aitikia Wito wa Kangi Lugola
Mmiliki wa kampuni ya Lugumi, Said Lugumi leo asubuhi Jumanne Julai 31, 2018 amejisalimisha katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani jijini Dar es Salaam kuitikia wito wa waziri wa wizara hiyo, Kangi Lugola. Julai 21, 2018 Lugola alimpa…
Mbunge wa CHADEMA Jimboni kwa Lowassa ajiuzulu, arudi CCM
Mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na CCM kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi Rais Magufuli. Kalanga amepokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa…