JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mbunge wa CHADEMA Jimboni kwa Lowassa ajiuzulu, arudi CCM

Mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na CCM kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi Rais Magufuli. Kalanga amepokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa…

Magufuli Ateua Wakuu wa Wilaya Wapya

  Rais Magufuli amemteua Jokate Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Aidha, amemteua David Kafulila kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Rais Magufuli amemteua Jerry Muro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru na Patrobas Katambi kuwa Mkuu wa…

Mbunge WAITARA wa CHADEMA Ahamia CCM

MBUNGE wa Chadema Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Waitara amesema sababu ni kutofautiana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe baada ya kumhoji kwa nini chama hicho hakifanyi uchaguzi wa mwenyetiki…

Diamond azuiwa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere

 Diamond Platnumz na msafara wake walikuwa katika hali ya taharuki kwa saa kadhaa baada ya kuzuiwa na Baraza la sanaa nchini Tanzania, BASATA walipokuwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenda kutumbuiza nje ya nchi…

Mwenyekiti UVCCM adai Chadema itaambulia majimbo mawili 2020

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Kheri James ametamba kwamba chama chake kitashinda katika uchaguzi mdogo wa Agosti 12, mwaka huu katika kata zote na ubunge wa jimbo la Buyungu. Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni katika Kata ya…

Madiwani 30 wa CCM Wapita Bila Kupingwa

TUME ya taifa ya uchaguzi, NEC wamesema wagombea wa udiwani 3O kutoka CCM wamepita bila kupingwa baada ya wagombea wa upinzani kuenguliwa kwa sababu mbalimbali kwenye uchaguzi unatarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu. Vyama vya upinzani, CHADEMA na ACT wiki…