JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

RC Katavi awaita wawekezaji Kiwanja cha Ndege Mpanda

MKUU wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali mstaafu Raphael Muhuga amewaita wawekezaji wa usafiri wa anga kuwekeza kwenye Kiwanja cha Ndege cha Mpanda, kutokana na kuwa na miundombinu mizuri. Meja Jenerali mstaafu Muhuga amesema hayo kwa Bodi ya Ushauri (MAB)…

HALI YA MWARABU FIGHTER BAADA YA KUPATA AJALI NA KUPASUKA KICHWA

Kufuatia Bodigadi wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Mwarabu Fighter aliyepata ajali mbaya alfajiri ya leo katika eneo la Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam na kupasuka kwenye uso, majeruhi huyo ameeleza kuwa kwa sasa anaendelea vizuri baada ya…

Serikali haitafuta tozo daraja la Kigamboni

Serikali imesema kuwa haitafuta tozo inayotozwa katika daraja la Kigamboni kwa kuwa fedha hizo zinatumika kulipa sehemu ya deni la mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Juni 22,2018 na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,…

Mwenyekiti CHADEMA Ashambuliwa kwa Mapanga na Mishale

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Mwikatsi wilayani Babati mkoani Manyara, Simon Lala (CHADEMA) ameshambuliwa na kujeruhiwa kwa mishale na mapanga na watu wasiojulikana kwa kile kilichodaiwa kuwa ni mgogoro wa ardhi.     Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara,…

Tanzia: Profesa wa Upasuaji Chuo Kikuu Muhimbili Afariki Dunia

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Prof. Adrea Pembe anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Leonard Lema kilichotokea leo asubuhi tarehe 18 Juni 2018 katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Prof. Lema alikuwa ni…

BAJETI YA UPINZANI YAZUIWA BUNGENI, WENYEWE WASUSA

Hotuba ya Bajeti mbadala ya Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni imekataliwa bungeni kutokana na kuwasilishwa nje ya utaratibu. Wabunge wa upinzani (isipokuwa wanaomuunga mkono Prof Lipumba ) wameondoka kwenye ukumbi wa Bunge.