JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Rais Samia avunja bodi ya TRC,atengeua uteuzi wa TFGA

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kufanya utenguzi katika shirika la ndege za serikali. Rais Samia amemtengua…

Makamu wa Rais azindua maandalizi ya dira 2050

……………………………………………………………………. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa Wizara zote, Taasisi za Umma, Idara Zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Sekta Binafsi, Watanzania wanaoishi Ughaibuni…

Makamu wa Rais wa Marekani awasili nchini Kamala Harris

Picha mbalimbali zikionesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 29…

Tanzania yapeleka misaada ya wahanga wa kimbunga Fredy Malawi

Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulika na Operesheni pamoja na Uratibu wa shughuli za Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Luteni Kanali Selestine Masalamado ameongoza ujumbe wa kutoka Nchini Tanzania kupeleka misaada ya unga, mahindi, mablanketi, mahema na dawa…