Category: Kitaifa
Tangazo la NEC lahitimisha udiwani wa Manji
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata 21 ikiwamo ya Mbagala Kuu katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, jambo linalohitimisha udiwani wa mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Athuman…
NEC yazipangua hoja za Chadema Buyungu
Mkurugenzi wa uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) Dk Athumani Kihamia amesema msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Buyungu mkoani Kigoma ataendelea kutekeleza majukumu yake kwa kuwa malalamiko yaliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kumkataa hayakufuata…
Serikali Yaondoa zuio la Kuuza Mazao Nje ya Nchi
Serikali imeondoa zuio la kuuza mazao nje ya nchi ili kutoa fursa soko na mapato kwa wakulima. Hata hivyo, wanaotaka kuuza mazao nje ya nchi watalazimika kufuata sheria, kanuni na taratibu zilizopo. Uamuzi huo umetangazwa leo Agosti 8 na Rais…
Tanzia: King Majuto Afariki Dunia
Muigizaji Mkongwe wa sanaa za vichekesho, Amri Athuman maarufu kama King Majuto amefariki dunia jioni ya leo katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu. Tunatoa pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki pamoja na wadau wa filamu nchini….
Dk Hamisi Kigwangalla Awashukuru Watanzania kwa Maombi yao, Afya Yake Inazidi Kuimarika
Jana ilikuwa siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwagalla, lakini kiongozi huyo aliisherehekea akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akipatiwa matibabu. Dk Kigwangalla alisherehekea siku yake akitibiwa baada ya kupata ajali mwishoni mwa…