Category: Kitaifa
Sikiliza Wimbo Mpya ya Hamisa Mobetto
Hamisa Mobetto, kaachia ngoma yake ya kwanza aliyofanya na Producer C9 ambayo inaitwa Madam hero
Upelelezi unasubiriwa kutoka Australia kesi ya ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’
Kesi ya kughushi kibali cha madini ya U.S.D Mil 8 inayomkabili mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein maarufu ‘Ndama mtoto ya Ng’ombe’ kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo upelelezi wake unasubiriwa kutoka nchini Australia. Hayo yameelezwa na wakili wa serikali, Elia Athanas…
Mbowe Ampa Pole Rais Magufuli kwa Kufiwa na Dada Yake
August 19,2018 Rais Magufuli amepata msiba kwa kufiwa Dada wa yake Marehemu Monica Magufuli amabye amefariki akiwa na umri wa miaka 63, ameacha watoto 9, pamoja na Wajukuu 25. Viongozi mbalimbali wametoa pole kwa Rais Magufuli kupitia mitandao ya kijamii. Mwenyekiti…
BREAKING: Madiwani Wawili CUF Wahamia CCM
Chama Cha Wananchi (CUF) kimeendelea kupata pigo, baada ya madiwani wake wawili kujivua uanachama wa chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Madiwani hao wa Kata ya Kilindoni, Hamad Musa na Hassani Mohammed wa Kata ya Jibondo wilayani…
RC MAKONDA AVIWEZESHA KIUCHUMI VIKUNDI VYA JOGGING KWA KUVIPATIA MITAJI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ameanza rasmi mpango wa kuviwezesha kiuchumi vilabu vya Jogging kwa kuvipatia mitaji ya kuwezesha kuanzisha miradi ya kujikwamua kiuchumi. Akizungumza wakati wa Bonanza la Vilabu vya Jogging…
Wananchi Kyela wajitokeza kupiga kura
Wananchi wa kata ya Mwanganyanga katika mji mdogo wa Kyela, jijini Mbeya leo asubuhi Jumapili Agosti 12, 2018 wamejitokeza kupiga kura kuchagua diwani. Msimamizi wa Uchaguzi katika kata hiyo, Amos Basiri amesema vituo vyote vimefungulia saa 1 asubuhi na wananchi…