JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Wanafunzi Waandamana Mwenzao Kupigwa na Mwalimu Hadi Kuzirai

WANAFUNZI wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Kalangalala mkoani Geita wameandamana kwenda kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Geita kupinga kitendo kile kinachodaiwa kwamba mwanafunzi mwenzao kupigwa na mwalimu hadi kupoteza fahamu.   Mwanafunzi huyo, Jonathan…

WAKILI Jeremiah Mtobesya aliyekuwa akiwawakilisha Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake nane wa chama hicho, amejitoa kwenye kesi hiyo leo Agosti 23 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri. Mtobesya amejitoa katika kesi…

WASANII ASLEY , SHILOLE WASAINI NA TTCL KUNOGESHA KAMPENI YA RUDI NYUMBANI KUMENOGA

  Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Bw. Waziri Kindamba (kulia) akibadilishana hati ya mkataba na msanii Zuena Mohamed maarufu kama Shilole ‘Shishi Baby’ (kushoto), mara baada ya kusaini mkataba huo. Mkataba huo ambao pia msanii Asley Isihaka maarufu kama Dogo Asley…

Lugola amuagiza DCI amkamate aliyekuwa mkurugenzi Nida

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza Mkurugenzi wa Makosa Jinai nchini (DCI) kumkamata aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu kabla ya saa 12 jioni leo na tayari ameshakamata na kupelekwa Dar es Salaam….

ACT Wazalendo wamtaka Museveni amuachie ‘Bobi Wine’

Chama cha ACT-Wazalendo kimemuandikia barua ya wazi Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kikimtaka amuachie Mbunge Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) na wabunge wengine wanaoshikiliwa na Polisi. Kimemtaka Rais Museveni kuweka mbele haki za binadamu kuliko maslahi yake yanayohusiana na siasa na…