Category: Kitaifa
Mwanafunzi aliyezirai kwa kipigo, aruhusiwa kutoka hospitali
Mwanafunzi wa sekondari ya Kalangalala mkoani Geita, Jonathan Mkono anayedaiwa kupigwa na mwalimu wake na kulazwa hospitalini, ameruhusiwa leo mchana Septemba Mosi, 2018. Mkono alikuwa amelazwa hospitali tangu Agosti 30 baada ya kuchapwa na kupoteza fahamu na mwalimu wa nidhamu,…
Meya mwita ataka Kiswahili kufundishia sekondari, vyuo
MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita ameishauri serikali kuanza kutumia lugha ya Kiswahili katika kufundisha masomo ya shule za msingi, sekondari na vyuo ili kuwawezesha wanafunzi kupata uelewa. Kauli hiyo ameitoa jana jijini Dar es salaam alipokuwa…
16 WANAODAIWA KUKWAPUA FEDHA ZA USHIRIKA WILAYANI HAI ,WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA
WATU 16 wakiwemo viongozi wa Bodi ya Ushirika wa Umoja wa watumia maji katika kijiji cha Mijongweni (UWAMI) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya wakituhumiwa kuhusika na ubadhilifu wa fedha za…
Tamwa waandaa soko la wazi kuhamasisha wajasiriamali wanawake – Habari
Chama cha Waandishi wa Habari wanawake Tanzania (Tamwa) wameandaa soko la wazi litakalofanyika Dunga katika viwanja vya ofisi za Halmashauri, Jumamosi Septemba Mosi kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Agosti 30…
MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri , kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi…