Category: Kitaifa
JPM AMWONDOA MWENYEKITI BODI YA WAKURUGENZI WA SUMATRA
Rais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) Mhandisi Dkt. John Ndunguru na kuivunja bodi hiyo kuanzia leo Septemba 24, 2018. Rais Magufuli amechukua…
TEF watuma salamu za rambirambi, yataka elimu ya majanga iongezwe
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetoa salamu za pole kwa Rais John Magufuli, familia, ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere. Salamu hizo zimetolewa leo Septemba 23,2018 na Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa hilo,…
Tanzania yaadhimisha miaka 51 ya madini ya Tanzanite
Kwa mara ya kwanza Tanzania imeadhimisha miaka 51 tangu kuvumbuliwa kwa madini ya kipekee ulimwenguni, Tanzanite. Maadhimisho hayo yalidogoshwa kutokana na Taifa la Tanzania kuwa katika maombolezo kwa siku tatu mfululizo kufuatia ajali ya kivuko cha Mv Nyerere Alhamisi wiki…
LISHE DUNI NA ULAJI USIOFAA NI ADUI WA MAENDELEO NCHINI-MAJALIWAPicha
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI LISHE DUNI NA ULAJI USIOFAA NI ADUI WA MAENDELEO NCHINI-MAJALIWA *Asema ni chanzo cha magonjwa yasiyoambukiza kama saratani, kisukari na moyo *Asisiza wananchi kuzingatia ulaji unafaa na kubadili mitindo ya maisha …
WAZIRI MKUU AKATISHA ZIARA DODOMA, AENDA UKEREWE
WAZIR MKUU Kassim Majaliwa amekatisha ziara ya mkoa wa Dodoma na kuelekea Ukerewe Mwanza kuwafariji wananchi waliopatwa na maafa kutokana na ajali ya kivuko cha MV Nyerere. Waziri Mkuu ambaye alikuwa na ziara ya kikazi ya siku saba katika mkoa…
Updete Ajali ya Mv Nyerere Mwanza
RC wa Mwanza, John Mongela amesema idadi ya watu waliofariki kwa ajli ya #MvNyerere kuzama Ziwa Victoria imeongezeka na kufikia 94 leo asubuhi. DC Ukerewe amesema Kivuko kilikuwa na uwezo wa kubeba abiria 100 na tani 25 za mizigo, lakini…