JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

‘Mwizi’ wa magari Moshi apelekwa Kenya

Na Charles Ndagulla, Moshi Mfanyabiashara Bosco Kyara na mwenzake Gabriel Mombuli, wanaotuhumiwa kujihusisha na mtandao wa wizi wa magari katika nchi za Kenya na Tanzania wamesafirishwa kwenda nchini Kenya kujibu mashtaka ya wizi wa gari. Kyara ni mkazi wa Makuyuni katika…

Waandishi wa habari washinda kesi

MWANZA NA MWANDISHI WETU   Mahakama ya Mkoa wa Mwanza imetupilia mbali kesi dhidi ya waandishi wa habari, Christopher Gamaina (Gazeti la Raia Mwema) na George Ramadhani (kujitegemea) waliotuhumiwa kujifanya maofisa wa Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu katika Nchi za…

Idadi ya wazee kuongezeka

  ARUSHA NA MWANDISHI WETU Idadi ya wazee nchini Tanzania inakadiriwa kuwa asilimia 11 ya watu wote ifikapo mwaka 2050. Hali hiyo inasababishwa na ongezeko la idadi ya watu na kuboreshwa kwa huduma za afya nchini. Mratibu wa Huduma za…

Hujuma zatawala UDART, wakamatana

Na Mwandishi Wetu Polisi wanawashikilia wafanyakazi 22 wa Kampuni ya UDA Rapid Transit (UDART) inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Simon Group, Simon Kisena, JAMHURI limebaini. Wafanyakazi hao wakiwamo wasaidizi wa karibu wa Kisena wanatajwa kuweka mfumo mbadala wa kuuza tiketi za…

Sirro ataka askari polisi kumcha Mungu

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amewataka askari polisi kumcha Mungu na kutenda haki. Sirro ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Septemba 29, 2018 katika mazishi ya IGP mstaafu Samuel Pundugu aliyezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam….

Dk Shein afanya uteuzi wa viongozi Zanzibar

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi wa taasisi mbalimbali za Serikali. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana Jumamosi Septemba 29, 2018 na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi,…