Category: Kitaifa
WAGONJWA WA MACHO 300 NCHINI WAFANYIWA UPASUAJI NDANI YA SIKU TANO
Mtaalam kutoka Taasisi inayojishugulisha na afya ya macho ONA Bi. Haika Urasa kulia akitoa miwani ya kusomea kwa mmoja wa wakazi wa Dodoma aliyefika kupata huduma. Mtaalamu wa magonjya yasiyoyakuambukiza Dkt. Nleminyanda Hezron akitoa huduma za kupima sukari kwa baadhi…
WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na biashara za magendo zinazoendelea katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hivyo amewataka viongozi wa wilaya hiyo wajipime wenyewe. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kagera Bw. Adam Ntogha…
MTWARA KUVUNA VIBE KAMA LOTE MSIMU HUU WA TIGO FIESTA 2018
MTWARA KUVUNA VIBE KAMA LOTE MSIMU HUU WA TIGO FIESTA 2018 Wateja wa Tigo kupata faida mara tatu kupitia promosheni za kusisimua Mtwara, Oktoba 13, 2018 – Huku msimu wa mavuno ya korosho ukiwa umewadia katika mikoa ya nyanda za…
Waziri Mkuu Achukizwa na Biashara za Magendo
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na biashara za magendo zinazoendelea katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hivyo amewataka viongozi wa wilaya hiyo wajipime wenyewe. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kagera Bw. Adam Ntogha kumsimamisha…
Wakazi Dar kupata maji zaidi
Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam na Pwani (Dawasa), Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange, amewatoa hofu wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Pwani kuhusu upatikanaji wa…
Mifugo yatajwa kuwa ni changamoto ya maendeleo ya barabara Mkoani Rukwa
Meneja wa Wakala wa barabara (TANROAD) Mkoa wa Rukwa Mhandisi Msuka Mkina ameeleza kuwa miongoni mwa changamoto zinazorudisha nyuma ujenzi na matengenezo ya bararabara za mkoani humo ni uwepo wa shughuli za kibinadamu kando ya barabara hizo. Amesema kuwa uswagaji…