Category: Kitaifa
Microchip yageuka gumzo Kenya
Baada ya Gazeti la JAMHURI kuchapisha taarifa kuwa mfanyabiashara, Mohamed Dewji, maarufu kama ‘Mo’ alikuwa na microchip mwilini iliyorekodi taarifa zote za watekaji, matajiri na wafanyabiashara nchini Kenya wameanza juhudi za kuwekewa teknolojia hiyo, JAMHURI limefahamishwa. Wengi wa matajiri wameona…
Kiongozi wa upinzani afungwa jela maisha
Kiongozi wa upinzani nchini Bahrain, Sheikh Ali Salman, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya mahakama ya rufaa kumkuta na hatia ya kuipeleleza nchi hiyo kwa niaba ya nchi ya Qatar. Hukumu hiyo inakuja miezi michache baada ya mahakama ya…
Microchip ya Mo
Watu waliomteka Mohammed Dewji, maarufu kama Mo, walidhani hawatafahamika ila inaonekana walikosea kusuka mpango wao wa utekaji na sasa mambo yameanza kuwatumbukia nyongo, JAMHURI limefahamu. Vyanzo vya habari kutoka Uingereza, Afrika Kusini, Marekani na hapa nchini vimeliambia JAMHURI baada ya…
Mtishia maisha vikongwe akamatwa Magu
Mkuu wa Wilaya (DC) ya Magu mkoani Mwanza, Dk. Philemon Sengati, ameamuru kukamatwa kwa mkazi wa Kijiji cha Shilingwa, Julius Makolobela, anayetuhumiwa kuwatishia maisha wananchi katika eneo hilo. Uamuzi wa DC Sengati umekuja siku moja baada ya Gazeti la JAMHURI…
Kucheleweshwa mbolea kulivyoathiri mazao
Wakati Rais John Magufuli akisisitiza mara kadhaa kwamba serikali haitatoa chakula cha msaada kwa watakaokabiliwa na njaa, mikoa ya Nyanda za Juu Kusini mazao yameharibika kutokana na mbolea za kukuzia kutofika kwa wakati kwa wakulima. Rais Magufuli aliendelea kusisitiza kuwa serikali…
Mo awaumbua watekaji
Tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini na tajiri kijana barani Afrika, Mohamed Dewji, maarufu kama Mo, limewaumbua watekaji, haijapata kutokea. Wakati wakidhani Mo hakuwa na mlinzi, na baada ya kuvua saa na kuacha simu katika eneo la Colosseum Hotel,…