JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mifugo yatajwa kuwa ni changamoto ya maendeleo ya barabara Mkoani Rukwa

Meneja wa Wakala wa barabara (TANROAD) Mkoa wa Rukwa Mhandisi Msuka Mkina ameeleza kuwa miongoni mwa changamoto zinazorudisha nyuma ujenzi na matengenezo ya bararabara za mkoani humo ni uwepo wa shughuli za kibinadamu kando ya barabara hizo. Amesema kuwa uswagaji…

TAKUKURU JIRIDHISHENI NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KWA WANANCHI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa TAKUKURU wajiridhishe huduma zinatolewa kwa wananchi bila ya rushwa, watakapobaini rushwa wachukue hatua.   Pia, Waziri Mkuu amewataka watumishi wa umma wajiepushe na vitendo vya rushwa pamoja na matumizi mabaya ya fedha za Serikali katika…

MHASIBU WA MAPORI AREJESHWE KWENYE NAFASI YAKE-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa Mapori ya akiba ya Buligi, Biharamulo na Kimisi Bw. Bigilamungu Kagoma amrudishe Mhasibu wa mapori hayo Bw. Adam Kajembe katika nafasi yake.   Ametoa agizo hilo baada ya Meneja wa Mapori hayo Bw. Kagoma kumuondoa…

Basi la Arusha Express, Laua Wanne , na Kujeruhi 11

Watu wanne wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa ambapo watano kati yao hali zao ni mbaya baada ya kutokea ajali ya basi la Kampuni ya Arusha Express lenye namba za usajili T 750 BYQ katika eneo la Bonga, Babati mkoani Manyara…

Humphrey Polepole Atoa limiti ya Wabunge Wanaotaka Kuhamia CCM

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema wabunge wa upinzani wanaotaka kujiunga na chama hicho mwisho wa kufanya hivyo ni Disemba, 2018.   Polepole ametoa kauli hiyo jana Jumapili Oktoba 7, 2018 kupitia…