Category: Kitaifa
Kwimba wavutana ziliko Sh bilioni 2
Shilingi bilioni 2.27 zinadaiwa kutumika kinyume cha taratibu na sheria ya fedha katika Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza. Fedha hizo ni mapato ya vyanzo mbalimbali ambayo hayakuwapo kwenye mpango wa bajeti ya halmashauri hiyo wa mwaka wa fedha…
Spika, CAG ngoma nzito
Kama ungekuwa mchezo wa soka, basi ungesema zimechezwa dakika 90 zimekwisha, zikaongezwa dakika 30 zikaisha timu zikiwa sare, sasa wanaelekea kwenye kupiga penalti. Huo ndiyo mchuano uliopo kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa…
Hatimaye kigogo CCM apewa uraia
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye (Nambatatu), ameomba na kupewa uraia, JAMHURI linathibitisha. Kiboye ambaye anajulikana pia kwa jina la Jared Samweli Kiboye, amepewa uraia wa Tanzania mwaka jana baada ya kubainika kuwa alikuwa Mkenya….
Wazanzibari kutibiwa bure
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema serikali hiyo imekusudia kuendelea kutoa matibabu bure kwa wakazi wote wa Unguja na Pemba. Amesema mafanikio hayo yanatokana na juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…
Hujuma korosho
Juhudi za Rais John Magufuli kudhibiti magendo katika biashara ya korosho, maarufu kama ‘kangomba’ zinaelekea kuingia doa kutokana na watendaji aliowaamini katika ngazi ya wilaya kushiriki biashara hiyo, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Taarifa kutoka mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi…
Kilichong’oa mabosi TAKUKURU
Mchezo wa rushwa aliounusa Rais John Magufuli katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), ukabila, ukanda na usiri wenye lengo la kunufaisha watu binafsi na jamaa zao, vimetajwa kumsukuma Mkurugenzi Mkuu mpya wa Takukuru, Diwani Athumani, kufumua mtandao…