Category: Kitaifa
Mke wa Zakaria arejea uraiani
Mke wa mfanyabiashara Peter Zakaria, Anthonia Zakaria, amekiri kosa la uhujumu uchumi na kuhukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 54. Alikuwa akishtakiwa kwa kosa hilo baada ya kujipatia mali za Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza cha mkoani Mwanza. Mali hizo…
Lissu njia panda
Ofisi ya Bunge inakusudia kutangaza hatima ya ubunge wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), baada ya kutokuwapo bungeni kwa miezi 16 sasa. Uamuzi huo ukisubiriwa kutoka kwa Spika Job Ndugai, mwanasiasa huyo amekataa kuzungumzia lolote kuhusu madai kwamba…
Walioondolewa Takukuru wapangiwa vituo
Waliokuwa wafanyakazi wa Taasisi ya Kuzuaia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), walioenguliwa wameanza kupangiwa majukumu katika idara na taasisi nyingine za serikali. Waliopangiwa vituo tayari ni aliyekuwa Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma, Ekwabi Mujungu, ambaye amehamishiwa Ofisi ya Katibu Tawala…
Kwimba wavutana ziliko Sh bilioni 2
Shilingi bilioni 2.27 zinadaiwa kutumika kinyume cha taratibu na sheria ya fedha katika Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza. Fedha hizo ni mapato ya vyanzo mbalimbali ambayo hayakuwapo kwenye mpango wa bajeti ya halmashauri hiyo wa mwaka wa fedha…
Spika, CAG ngoma nzito
Kama ungekuwa mchezo wa soka, basi ungesema zimechezwa dakika 90 zimekwisha, zikaongezwa dakika 30 zikaisha timu zikiwa sare, sasa wanaelekea kwenye kupiga penalti. Huo ndiyo mchuano uliopo kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa…
Hatimaye kigogo CCM apewa uraia
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye (Nambatatu), ameomba na kupewa uraia, JAMHURI linathibitisha. Kiboye ambaye anajulikana pia kwa jina la Jared Samweli Kiboye, amepewa uraia wa Tanzania mwaka jana baada ya kubainika kuwa alikuwa Mkenya….