Category: Kitaifa
Lowassa anena
Waziri Mkuu (mstaafu), Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea wa ushirikiano wa kisiasa wa vyama vya upinzani, maarufu kwa jina la Ukawa, amerejea CCM wiki iliyopita akitokea Chadema, ametoa neno zito. Wakati watu wengi wakijiuliza imekuwaje Lowassa, mwanasiasa aliyetoa changamoto kubwa kwa…
Rais anadanganywa ili iweje?
Mwishoni mwa mwaka jana Mpita Njia (MN) alisoma kwenye vyombo vya habari ahadi aliyopewa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais John Magufuli. MN anakumbuka vema kuwa ahadi hiyo ilitolewa na ‘wakubwa’ waliokuwa kwenye ziara mkoani Mara,…
Uamuzi mbovu wachelewesha Liganga
Serikali imepiga ‘stop’ kuendelea kwa mradi wa uchimbaji chuma cha Liganga hadi uhakiki utakapofanyika pamoja na kukamilishwa mambo kadhaa, likiwemo la kurejewa kwa mkataba husika pamoja na kuangalia masilahi ya taifa yafikie kiwango cha juu. Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI…
‘Watumishi wa umma msitumike kisiasa’
Serikali imewakumbusha watumishi wa umma nchini kutotumika kisiasa, badala yake watimize majukumu yao kikamilifu. Maelezo hayo kwa watumishi hao wa serikali yametolewa hivi karibuni na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary…
Mvutano waendelea ‘stendi’ Moshi
Mvutano unaendelea kati ya Halmashauri ya Manispaa ya Moshi na wafanyabiashara wenye maduka katika Jengo la Biashara la Stendi Kuu ya Mabasi mjini Moshi. Mvutano huo unahusu mkataba mpya wa upangaji baada ya ule wa awali wa miaka 15 kumalizika…
Apokwa nyumba kwa deni la mkewe
Chama cha kukopesha wanawake cha Muunganiko wa Wanawake Sekta Isiyo Rasmi Dar es Salaam (MUWASIDA) kwa kushirikiana na Kampuni ya udalali ya Namic Investment Ltd, wanatuhumiwa kuuza nyumba ya Mbegu Kangamika (72) kwa mizengwe. Nyumba hiyo Na. 255 ipo Mtaa…