Category: Kitaifa
‘Watumishi wa umma msitumike kisiasa’
Serikali imewakumbusha watumishi wa umma nchini kutotumika kisiasa, badala yake watimize majukumu yao kikamilifu. Maelezo hayo kwa watumishi hao wa serikali yametolewa hivi karibuni na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary…
Mvutano waendelea ‘stendi’ Moshi
Mvutano unaendelea kati ya Halmashauri ya Manispaa ya Moshi na wafanyabiashara wenye maduka katika Jengo la Biashara la Stendi Kuu ya Mabasi mjini Moshi. Mvutano huo unahusu mkataba mpya wa upangaji baada ya ule wa awali wa miaka 15 kumalizika…
Apokwa nyumba kwa deni la mkewe
Chama cha kukopesha wanawake cha Muunganiko wa Wanawake Sekta Isiyo Rasmi Dar es Salaam (MUWASIDA) kwa kushirikiana na Kampuni ya udalali ya Namic Investment Ltd, wanatuhumiwa kuuza nyumba ya Mbegu Kangamika (72) kwa mizengwe. Nyumba hiyo Na. 255 ipo Mtaa…
Wafuja mamilioni
Ufisadi wa fedha za kilimo cha miwa na kiwanda cha sukari vilivyobuniwa na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious Luoga, ndio uliomfanya Rais John Magufuli, amng’oe kwenye nafasi hiyo, JAMHURI limebaini. Mradi huo ulibuniwa na Luoga kwa kigezo cha kuongeza…
Waliofuja KNCU hawatapona – Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali inaendelea na uhakiki wa mali zote za Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU) na kuonya kuwa hakuna atakayepona kwa wale wote watakaobainika kufuja mali za chama hicho kikongwe nchini. Baadhi ya viongozi…
Wananchi waitunishia Serikali msuli
Mvutano umeibuka kati ya serikali na wakazi wa Kata ya Nyatwari, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara baada ya wananchi hao kutakiwa kuhama huku wao wakipinga amri hiyo. Wananchi hao wametakiwa kuondoka kwenye kata hiyo ili kupisha njia ya wanyama wanaotoka…