Category: Kitaifa
Mdhamini, Mwenyekiti CWT
Hali imezidi kuwa tete katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT), baada ya baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa chama hicho kutiliwa shaka na baadhi ya wanachama, JAMHURI limebaini. Gazeti hili la JAMHURI limejiridhisha kuhusu kuwapo kwa mpasuko miongoni…
Watano wafukuzwa kazi Benki ya Ushirika
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Ushirika mkoani Kilimanjaro (KCBL) imewafukuza kazi maofisa wake watano akiwamo Meneja Mkuu wa benki hiyo, Joseph Kingazi, kwa tuhuma za kuhusika katika ufisadi wa mabilioni ya fedha. Maofisa wengine wa benki hiyo waliofukuzwa kazi…
Kashfa ya vipodozi Kamal Group
Kampuni ya Kamal Group inayomiliki kiwanda cha kuzalisha nondo cha Kamal Steel inatuhumiwa ‘kupoka’ vipodozi vyenye thamani ya Sh milioni 109 mali ya Barbanas Joseph, mkazi wa Dar es Salaam. Jengo la ghorofa tisa mali ya Kampuni ya Kamal lililopo…
CWT kwawaka
Fukuto limezidi kuwa kubwa ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) baada ya gazeti hili kuchapisha taarifa za kuwapo ufujaji wa mali za walimu wiki iliyopita, JAMHURI linathibitisha. Wiki iliyopita JAMHURI lilichapisha orodha ya wafanyakazi waliopewa ajira kwa njia ya…
Rais Museveni azidi kumuenzi Mwalimu
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amemsifu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akisema ni mtu muhimu aliyejenga umoja wa Afrika na ustawi wa binadamu. Ametoa sifa hizo kwenye misa maalumu iliyohudhuriwa na watu zaidi ya 500 kutoka Uganda na…
Ufisadi, upendeleo CWT
Hali si shwari katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kwani wakubwa wa chama hicho kwa sasa wanatazamwa kwa jicho la kutiliwa shaka katika uadilifu wao baada ya kutumia ukabila, udugu na upendeleo wa kila aina kuendesha chama hicho, JAMHURI limebaini….