Category: Kitaifa
NMB yakabidhi viti, meza za Mil. 15/- kwa Sekondari Mafia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Benki ya NMB imekabidhi msaada wa viti 100 na meza 100 vyenye thamani ya Sh. Mil. 15, kwa matumizi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Kidawendui na Jibondo, zilizoko Mafia mkoani Pwani, vifaa vilivyopokelewa na…
Makamu mwenyekiti CCM Zanzibar aanza ziara ya kuimarisha chama
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo ,Wilaya na Mkoa wa Magharibi Kichama katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni Wilaya Magharibi…