JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Ubakaji watoto wakubuhu Same

Matukio ya kubakwa watoto wa kike wenye umri chini ya miaka 18 katika Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro yanaongezeka licha ya baadhi ya washitakiwa kufungwa jela. Taarifa zinaonyesha kuwa kati ya Januari, mwaka jana hadi Mei mwaka huu, mashauri 34…

Upanuzi Bandari ya Dar kuongeza ufanisi

Serikali inaendelea kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ili kuongeza ufanisi katika kuhudumia shehena kubwa zaidi. Katika maboresho hayo magati 1-7 yanafanyiwa ukarabati pamoja na ujenzi wa gati jipya litakalohudumia meli zenye shehena ya magari. Maboresho hayo ambayo yako chini…

PSSSF yatumia tril. 1.1/- pensheni

Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ndani ya miezi sita umetumia Sh trilioni 1.1 kulipa pensheni za wastaafu. Kiwango hicho kinajumuisha jumla ya Sh. bilioni 880 ambazo wamelipwa wastaafu 10,000 ambao pensheni zao zilisimamishwa katika Mfuko wa PSPF…

Polisi wamkoga JPM

Ni ajabu na kweli, magari matano kati ya manane yaliyokuwa yanahusishwa na ‘papa wa unga’, yaliyokuwa yamehifadhiwa Kituo cha Polisi Oysterbay yameondolewa kituoni hapo kwa njia za utata. Magari hayo ya kifahari ni mali ya Lwitiko Samson Adam (Maarufu kama…

Mdhamini, Mwenyekiti CWT

Hali imezidi kuwa tete katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT), baada ya baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa chama hicho kutiliwa shaka na baadhi ya wanachama, JAMHURI limebaini.  Gazeti hili la JAMHURI limejiridhisha kuhusu kuwapo kwa mpasuko miongoni…

Watano wafukuzwa kazi Benki ya Ushirika

Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Ushirika mkoani Kilimanjaro (KCBL) imewafukuza kazi maofisa wake watano akiwamo Meneja Mkuu wa benki hiyo, Joseph Kingazi, kwa tuhuma za kuhusika katika ufisadi wa mabilioni ya fedha. Maofisa wengine wa benki hiyo waliofukuzwa kazi…