JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Watano wafukuzwa kazi Benki ya Ushirika

Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Ushirika mkoani Kilimanjaro (KCBL) imewafukuza kazi maofisa wake watano akiwamo Meneja Mkuu wa benki hiyo, Joseph Kingazi, kwa tuhuma za kuhusika katika ufisadi wa mabilioni ya fedha. Maofisa wengine wa benki hiyo waliofukuzwa kazi…

Kashfa ya vipodozi Kamal Group

Kampuni ya Kamal Group inayomiliki kiwanda cha kuzalisha nondo cha Kamal Steel inatuhumiwa ‘kupoka’ vipodozi vyenye thamani ya Sh milioni 109 mali ya Barbanas Joseph, mkazi wa Dar es Salaam. Jengo la ghorofa tisa mali ya Kampuni ya Kamal lililopo…

CWT kwawaka

Fukuto limezidi kuwa kubwa ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) baada ya gazeti hili kuchapisha taarifa za kuwapo ufujaji wa mali za walimu wiki iliyopita, JAMHURI linathibitisha. Wiki iliyopita JAMHURI lilichapisha orodha ya wafanyakazi waliopewa ajira kwa njia ya…

Rais Museveni azidi kumuenzi Mwalimu

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amemsifu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akisema ni mtu muhimu aliyejenga umoja wa Afrika na ustawi wa binadamu. Ametoa sifa hizo kwenye misa maalumu iliyohudhuriwa na watu zaidi ya 500 kutoka Uganda na…

Ufisadi, upendeleo CWT

Hali si shwari katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kwani wakubwa wa chama hicho kwa sasa wanatazamwa kwa jicho la kutiliwa shaka katika uadilifu wao baada ya kutumia ukabila, udugu na upendeleo wa kila aina kuendesha chama hicho, JAMHURI limebaini….

Uhakiki wa uraia kero Ngara

Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Ngara mkoani Kagera imekuwa ikisababisha usumbufu kwa wananchi wilayani humo kuhusu uraia wa baadhi yao. Inaelezwa kuwa utaratibu wa maofisa Uhamiaji wilayani humo wa kuvizia mabasi na magari yanayofanya safari zake ndani ya wilaya na…