Category: Kitaifa
CWT inavyopigwa
Maji yanazidi kuchemka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), huku mkataba wa kinyonyaji wa mshauri wa mradi wa ujenzi na madeni kwenye Mfuko wa Jamii wa PSPF, yakiwa ni miongoni mwa mambo yanayoendelea kwenye chama hicho. JAMHURI limebaini CWT…
Serikali yazinduka matrekta mabovu
Na Deodatus Balile Baada ya Gazeti la JAMHURI kuchapisha habari za ubovu wa matrekta ya URSUS yanayouzwa kwa wakulima nchini kutoka Poland, Bunge limeibana serikali, ambayo nayo imezinduka na kuchukua hatua, JAMHURI linathibitisha. Kampuni ya URSUS S. A. iliingia mkataba…
‘Trafiki’ Dar wanatosha
Wakati Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro, akifikiri kuongeza idadi ya askari wa usalama barabarani, mamlaka ndani ya Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inao askari hao wa kutosha. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP),…
TRAWU wafukuzana Dar
Wanachama wa matawi matano wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU) wamekutana jijini Dar es Salaam na kuunga mkono uamuzi wa Kamati Maalumu ya Dharura wa kuwasimamisha kazi viongozi wa kitaifa wa chama hicho. Hatua hii imetokana na mgogoro…
Wapandishwa kizimbani kwa kuiba bil. 1.4/-
Watu wawili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka matatu ya kula njama na kuvamia, kuvunja makazi na kuiba fedha na vitu vyenye thamani ya Sh bilioni 1.4. John Masatu…
Bundi atua wizarani
Baada ya gazeti hili la uchunguzi, JAMHURI, kuandika kuhusu ubovu wa matrekta wanayouziwa wakulima nchini wiki iliyopita, Bunge kupitia Kamati ya Viwanda na Biashara limeingilia kati kunusuru nchi kuingia katika madeni yasiyo na faida, hivyo kumwita Waziri wa Viwanda na…