JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Chongolo ahitimisha ziara yake wilayani Mufindi mkoani Iringa

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Ndugu Daud Yasin (kulia) na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini (CCM), David Mwakiposa Kihenzile pamoja na Viongozi na wanachama wengine wakitembea kwa miguu kuelekea…

UVCCM yazielekeza taasisi za kifedha, sekta binafsi kushirikiana kuinua vijana

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umezielekeza Benki na taasisi nyingine za kifedha Pamoja na sekta binafsi kushirikiana moja kwa moja na Wizara ya kilimo katika kuhakikisha vijana wa kitanzania wanapata mitaji, masoko…

NMB yakabidhi viti, meza za Mil. 15/- kwa Sekondari Mafia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Benki ya NMB imekabidhi msaada wa viti 100 na meza 100 vyenye thamani ya Sh. Mil. 15, kwa matumizi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Kidawendui na Jibondo, zilizoko Mafia mkoani Pwani, vifaa vilivyopokelewa na…